Nostradumbass
Lister
Mimi first day after wazazi washaenda nmevaa tuslippers mpya nkaenda Hall kuwatch tv,kuingia tu hivi nliskia mono,kuja hapa...
Maswali ka za akina @Pamba 1 alaf nkaambiwa sema 'mbrrrrrr'...
After that nlipewa slipper imedungwa na mti,alaf majamaa za form four zkanishika shati hapa nyuma,ati mi ni driver alaf nipitie katikati ya watu nikipiga honi.
Nlipatana na jamaa inaitu Tugi nkapiga honi,ile kofi nilipigwa akyangai....