Kariobangi Misery

zapp_brannigan

I am not a Futurama fan .
its very easy, as "mtu anashindaga bypass" i expected you to know
Toboa . Najua Northlands but the link between the land in Kariobangi which is on higher grounds than the proposed city doesn't make sense sewage wise. Ingekua ni ile ya Ruai ningeelewa .
 
Ssabasajja

Elder Lister
Toboa . Najua Northlands but the link between the land in Kariobangi which is on higher grounds than the proposed city doesn't make sense sewage wise. Ingekua ni ile ya Ruai ningeelewa .
The distance too and the developments in between does not make it practical.
 
emali

Elder Lister
Chocha tu. But some areas hapo karibu Huruma Stadium, Corner na Kiamaiko nakumbuka zikiwa fire sana hata mchana.
huruma kona mbaya kama wewe sio mwenyeji lazima utoboke kitu... kiamaiko ilikuwa sawq mchana juu lazima wangeuza hizo nyama.. jioni ndio wenyeji waliiuwa wanaendea nyama yenye umebaki at a discount... watoi hawakuwa na shida sana... ulikuwa prima gani?
 
Mr Black

Elder Lister
ngeta yangu ya kwanza kupigwa ilikuwa hiyo barabara ya kwenda mathare area 4...nikitoka kula wariongo za kiamaiko.. good memories
We used to live hapo "flato", an uncle came to live with us time flani akitoka raundi mwenda jonsaga akapita hio grao ya block Z around 6:30 jioni, alipigwa ngeta akajua hajui:LOL::LOL::LOL: hakua na kakitu though

My old man too got robbed at gunpoint hapo Kiamaiko wakaiba Bibilia na the little hundreds he had, lakini back then wagondi walikua watu mature sio vijana jeuri kama siku hizi, they rarely stabbed or shot you.
 
hiyo place ilikuwa noma... most of my friends wa hapo late 90s are dead... risasi either karao ama wagondi... hapo flats zilikuwa abit safe.. watoi walikuwa wanasomea mfa ama salama... which are good schools
 
Mr Black

Elder Lister
Whatever they intend to build can wait for a few more months, Nairobians have survived decades without that sewerage plant, they can wait a few more months.
 
Ssabasajja

Elder Lister
huruma kona mbaya kama wewe sio mwenyeji lazima utoboke kitu... kiamaiko ilikuwa sawq mchana juu lazima wangeuza hizo nyama.. jioni ndio wenyeji waliiuwa wanaendea nyama yenye umebaki at a discount... watoi hawakuwa na shida sana... ulikuwa prima gani?
K South pri.
 
DeepInYourMind

Elder Lister
Having worked in the slums of Nairobi for 3 years, I noticed that, there are several categories of slum dwellers:

:- Brokers, who worked closely with the elected officials and government officials at both the national and County level. They are the ones who 'Surveyed' 'sold' 'processed allotment letters' and paid all those whose arms were greased to allow occupation of the public land. They also 'own' some of the structures.

:- Landlords, this guy's are well connected to the area representatives. MPs, MCAs .

:- Tenants this are guys who work hard to eke a living and usually wake up very early in the morning and come back in the evening. They are not aware of the happenings in the area. And they are the ones who bear the brunt of evictions.

Having said that, an eviction notice was given to the landlords, who kept mum and continued to receive rent from the tenants. The tenants were only aware of the eviction notice, when the DCC and SCPC had a Baraza in the area.
really messed up
 
Top