Animal Phobia.... Tell me about yours

Makavelli

Lister
:ROFLMAO: now on this we r together. Nikiona I instinctively close my nose. Used to be told, it goes through the nose straight to the brain na haitawai toka unless brain surgery
:cry:
Kumbe tuko wengi wenye tuliambiwa ii story of giants. Mimi nikipatana na iyo najipa shughuli lkn nyoka ndio naogopa iyo nikipatana nayo lazma damu ipige lap kwa mwili before niione war
 

Duke of Busia

Elder Lister
Bado natafta animal naeza ogopa but sioni. Well any venomous insect or reptile si ya kuchezea but ina depend kama ime ni attack otherwise I just keep the COVID19 distance *10 between me n them.

The one that I was scared of is a certain dog-like animal that luhyas call either T9 or endaba mwosi... others in KK claim it looks like a rabid wild dog while then the latter watu wa Busia claim it is a nocturnal dog like creature that mostly walks when there's a full moon... Kitu kama werewolf
 

SledgeHammer

Senior Lister
arachnid zote na nyoka....
kwanza arachnids... those things creepy so much. kuna spider ingine ikona thorns mbili inakuwa ya pink hapo kwa kichwa....ilipita across the classroom speed ingine ya ferarri tukiwa mid session ya discussion pale form four... vile mwili yangu ilijipata juu ya locker.. kicheko na aibu ndio ilifwata tu
 

Ule Msee

Lister
Animal phobias main ones, naona mumetaja 😅. Any hairy spider, hatuonani kabisa. The snakes ati mtu amewekelea kwa shingo kupigwa picha, over my dead body. Those larger toads with a extra rough skin, and the belly expands and contracts while breathing, no no no.
 
Top