Hehehe isokei, kule ktalk you said the same about how he had earned those titles, let the titles be earned not dishing them, tumetoka mbali na hii kijiji ya senators, some who had initially signed up last year were running away from what they used to post, mimi na watu wa matusi hatuko pamoja,sweeps sawa.Carzola hakujoin juzi
View attachment 7123
On the titles, will check to see if there is a bug and fix. Watu wameiva hesabu like exploting loopholes za numbers, maybe such happened or maybe not
Credit officer pale isukhaAnko is a big brand, who would not want him on his team..
Hehehe isokei, kule ktalk you said the same about how he had earned those titles, let the titles be earned not dishing them, tumetoka mbali na hii kijiji ya senators, some who had initially signed up last year were running away from what they used to post, mimi na watu wa matusi hatuko pamoja,sweeps sawa.
Was it content Deorro what he was sharing, just stick to moderation nguruba, you have a talent but at times you misuse it like today.Uwesmake had the most Media on Ktalk and Media contributed to points.
Will check and update kesho
Tunaomba serikali hio muguruki patco asikanyage hapa @AU5 . Seal the border the psychopath anuke na huko mbaliAccording to patco deorro is uwesmake
Wacha kuseti Deorro juu ya kukupa custom handles, welcome, to the group.Pamba i landed here on 12th november 2019 kijiji ikifunguliwa wewe ukaingia later na bado unapiga kelele . si uombe title polepole bila fitina za wamama wa cham
Patco made us to come up with this forum, huyo akikanyaga huku na missmuratina tu nahama.Tunaomba serikali hio muguruki patco asikanyage hapa @AU5 . Seal the border the psychopath anuke na huko mbali
I know this post a mod is yearning to pull it down hapo ndio shida itaanza, let's ventilate and see how we accommodate new members bila ubaguzi.
fika elder halafu tutakuambiaWhat's the fascination with titles? Inaongeza mtu nini? Kiulizo tuu.
Okay guys, calm down.
Nimeangalia system and Chief Lister ni 3rd rank. Senior Lister and Elder Lister ranks are higher than that of chief lister. SO ranking ya @Cazorla iko sawa
cc @Pamba 1 @Abba
View attachment 7126
Naki yaa Jirani?Pamba i landed here on 12th november 2019 kijiji ikifunguliwa wewe ukaingia later na bado unapiga kelele . si uombe title polepole bila fitina za wamama wa cham
Chief lister sounds greater than senior lister.I think we can move chief from mid to the most senior so that the wording should not confuse