WADAU HAPA VIPI

Habari zenu wazee wenzangu?I've missed you sana.Nimekuwa na shughuli mingi sana za hapa na pale.God has been on my side mpaka hapo mwaka imefika.Nimekuwa nikinjengea watu nyumba zao,blessings zimenimulika now am inuaring my own house ya gorofa kumi.Hopefully by end of next year nitajoin class ya landlords.Barikiweni sana.View attachment 14181View attachment 14182View attachment 14183View attachment 14184View attachment 14185
props baba!
Tho that duct behind the lift shaft ni ya kazi gani?
 
Last edited:
Back
Top