Kirwa
Lister
Habari zenu wazee wenzangu?I've missed you sana.Nimekuwa na shughuli mingi sana za hapa na pale.God has been on my side mpaka hapo mwaka imefika.Nimekuwa nikinjengea watu nyumba zao,blessings zimenimulika now am inuaring my own house ya gorofa kumi.Hopefully by end of next year nitajoin class ya landlords.Barikiweni sana.