Aviator
Elder Lister
Watu wa NYS tukae wapi?kama ulifanya driving pale KIBHT pale industrial area, tusalimiane hewani......
Watu wa NYS tukae wapi?kama ulifanya driving pale KIBHT pale industrial area, tusalimiane hewani......
Salimia huko kwa mandugu zetu Omwami.
Halafu hakuna inakuwanga na wheel safi. Zote ni ulimi. All the time. Everywhere.
Karoifangi
Spare part hao hutoa wapi?
Ni ukweli nilikua naskia ilikua inachemka na bado inafanya works mbayya mboffHaina spare.... Just pray you got those humans with a heart like mekonika mreefii to sort you out... Kwanza Bedford J6 ni moto wa kuotea mbali
Lakini hiyo kitu ilikuwa inachapa trip tano kutoka kaptembwa mpaka kiamunyi pale London ya Nakuru bila kuzimwa engine.... Bora ukue na mitungi tatu ya 20 litres ya maji mahali kwa kirai.....