Vile me hufeel nkiwa hapa senyet

Haina spare.... Just pray you got those humans with a heart like mekonika mreefii to sort you out... Kwanza Bedford J6 ni moto wa kuotea mbali

Lakini hiyo kitu ilikuwa inachapa trip tano kutoka kaptembwa mpaka kiamunyi pale London ya Nakuru bila kuzimwa engine.... Bora ukue na mitungi tatu ya 20 litres ya maji mahali kwa kirai.....
Ni ukweli nilikua naskia ilikua inachemka na bado inafanya works mbayya mboff
 
Back
Top