Steel Coils: Lets demystify a few things.

Fact Number 2- Ukipotea na moja unawacha kazi ya houseboy kwa mwarabu.
Kuna story pale Changamwe vile wasee waliiba, don't ask me how; Mkamba ako na mbinu zake za wizi, so usiku wakaitia Kasyoki Athuman yule wa transport, kazi. Akakuja na Datsun 1600 yake, wakaroll mzigo mpaka juu ya pickup, waliona mataa vimeface binguni. Gari ikaketi imechora letter C, wacha blame game na ngumi zitembee.
 
Matusi ya wakamba ni kali ! I'm sure the refered to the centre hole as kii.. key
 
Back
Top