Kender9
Elder Lister
Kuna story pale Changamwe vile wasee waliiba, don't ask me how; Mkamba ako na mbinu zake za wizi, so usiku wakaitia Kasyoki Athuman yule wa transport, kazi. Akakuja na Datsun 1600 yake, wakaroll mzigo mpaka juu ya pickup, waliona mataa vimeface binguni. Gari ikaketi imechora letter C, wacha blame game na ngumi zitembee.Fact Number 2- Ukipotea na moja unawacha kazi ya houseboy kwa mwarabu.