Kasaman
Elder Lister
short circuit....hii usapire hunitoka wapi ?shot the circuits
short circuit....hii usapire hunitoka wapi ?shot the circuits
face sugoi na useme ruto tosha mara kumi na mbili halafu uweke specs za ile simu unataka inboxPadre simu yangu battery huwa design mtu hawezi fungua.
Maskio ni ya plastic.Kitwa ya mtu haina plastic components
Hii ni therapy gani tena?Remove the battery, dip it in Surgical spirit. Dab with paper towels...not tissue
maji ya aina gani, fresh, salty, soapy, muddy, if its fresh water there might be a chance, just let it dry out and give it some time a copule of days maybe.
face sugoi na useme ruto tosha mara kumi na mbili halafu uweke specs za ile simu unataka inbox
fungua
toa battery
blow dry it
acha kae siku mbili hivi then rudisha batt and try using it
buy a new Xiaomi
Kuna xiaomi poa naweza get na chini ya 20k? Hii simu ni Kama haitaamka tena. Nimeshinda mteja since jana
Chukua Xiaomi A3 - 4GB ,64GB pale mi-store.co.ke at Ksh 17150Kuna xiaomi poa naweza get na chini ya 20k? Hii simu ni Kama haitaamka tena. Nimeshinda mteja since jana
Chukua Xiaomi A3 - 4GB ,64GB pale mi-store.co.ke at Ksh 17150
Badala ya kuweka theme unaleta expertise hapa...
Oppo A5- 3gb/64gb @ 19kKuna xiaomi poa naweza get na chini ya 20k? Hii simu ni Kama haitaamka tena. Nimeshinda mteja since jana
Kama kichwa ya mtu doesn't warp and shrink under blow drier I doubt plastic can
Kuna xiaomi poa naweza get na chini ya 20k? Hii simu ni Kama haitaamka tena. Nimeshinda mteja since jana
You just unscrew it.