Simu kuingia kwa maji

tafuta ile bucket wee huweka mchele, dip the phone hapo for 5hours, but first remove the battery. home remedy
EKsINSmWoAUKUMh.webp

Na upunguze fangii
 
Last edited:
fungua
toa battery
blow dry it
acha kae siku mbili hivi then rudisha batt and try using it
buy a new Xiaomi

Kuna xiaomi poa naweza get na chini ya 20k? Hii simu ni Kama haitaamka tena. Nimeshinda mteja since jana
 
Back
Top