Wadauz, in my various travels across kanairo na mombasa nimekutana na mbuzi choma, pork choma, kuku choma na ata believe me or not samak choma. Ata viazi choma, ngwace choma na smoky choma.
Lakini mbona sijawai kutana na ngombe choma?
Lakini mbona sijawai kutana na ngombe choma?