Ngombe Choma

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Wadauz, in my various travels across kanairo na mombasa nimekutana na mbuzi choma, pork choma, kuku choma na ata believe me or not samak choma. Ata viazi choma, ngwace choma na smoky choma.

Lakini mbona sijawai kutana na ngombe choma?
 
Ngombe is a bit tough to chew as roasted meat ata kwa kitoe ikipikwa vibaya.
Najua christmas niko on duty kutengeneza my impressive kitoweo ya mbuzi fry.
The reason most of the beef we buy from our butcheries is chewy is because it is from old culls. My agriculture teacher said steers should be slaughtered at 18-24 months but this resource recommends 12 to 22. Ukitaka nyama enda Kajiado, Narok, Maralal na Nanyuki.

.
 
Kujia hii Mkuu
choma.jpg
 
Back
Top