One of the things hufanya niogope kushikwa kama kifo ni hiyo halufu ya mikojo mahabusu hutoka akinuka segere.Hehe hakuna hekaya STAPOL.
Nilikua tu naenda kuona mahabusu huko and it ain't a very good place to be. Hata Jela ni afadhali.
some people on social media are still saying hiyo ni pesa kidogo kwa MP. Kenyans wameamini tu kila MP ni billionaire but kwa ground vitu ni tofauti
Aiii mbna ashindwe kwani wanawake wako. Kamiti huweza ajeeeIrene is a very young wife atawezana miaka tatu bila shuma la doshi akirushwa ndani kweli..
One of the things hufanya niogope kushikwa kama kifo ni hiyo halufu ya mikojo mahabusu hutoka akinuka segere.
These ones will default on the fines. Waanze kuzoea pajamas roho safisome people on social media are still saying hiyo ni pesa kidogo kwa MP. Kenyans wameamini tu kila MP ni billionaire but kwa ground vitu ni tofauti
That account where he had deposited the loot was frozen that's why the prosecution wants to go for a forfeiture.some people on social media are still saying hiyo ni pesa kidogo kwa MP. Kenyans wameamini tu kila MP ni billionaire but kwa ground vitu ni tofauti
That account where he had deposited the loot was frozen that's why the prosecution wants to go for a forfeiture.
Na kitu ingine inaitwa Kapaa meaning kaa mbili mbili muhesabiwe, leo ashibe vizuuri juu inda imefungwa hadi kesho,probably ako cell kileleshwa.These ones will default on the fines. Waanze kuzoea pajamas roho safi
Hio account pesa ilitumwa ilifungua huko 2010.Kwani inaendelea?
Kwanza apelekwe isolation ya corona asipelekee mahabusu ugonjwa.Na kitu ingine inaitwa Kapaa meaning kaa mbili mbili muhesabiwe, leo ashibe vizuuri juu inda imefungwa hadi kesho,probably ako cell kileleshwa.
hahahaha, umesema ni another 16yrs?He can apply for bond pending appeal...then wahakikishe appeal imechukua another 10 years.
For 70 million naweza kapa badala yake ,siwezi lipa over 700million fine hata iwe ni death sentence
But you know I am braveHehehe hiyo kapa inakuanga moto sana.... Mnapangana kama matrix of some sorts.. Alafu Kuna askari wanakaa pale kwa 'githuguu' pale juu alafu mnahesabiwa haraka sana.....![]()
But you know I am brave
Ulifanya nini?Hehehe hiyo kapa inakuanga moto sana.... Mnapangana kama matrix of some sorts.. Alafu Kuna askari wanakaa pale kwa 'githuguu' pale juu alafu mnahesabiwa haraka sana.....
P.S....i am not a Jail bird.