Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Jana nikitoka plantation nilipita kwa Ole kuchukua kibuyu ya dawa ua kutishia minyoo. Unajua ni vizuri kutishia minyoo zisione hizo ndio kutawala. Nikachapa kikombe moja ya bitter herbs baada ya supper na my friend heh nimeharwo hata sijaingia plantation leo. Yani digestive system yangu haina kitu at all, ni kuingia kama imetoka. Heshimu hio kitu, hapa ni kufanya kazi karibu na choo na juu ya choo. Minyoo zimetambua leo.