My experience na dawa ya maasai

Ngimanene na Muchere

Elder Lister
Jana nikitoka plantation nilipita kwa Ole kuchukua kibuyu ya dawa ua kutishia minyoo. Unajua ni vizuri kutishia minyoo zisione hizo ndio kutawala. Nikachapa kikombe moja ya bitter herbs baada ya supper na my friend heh nimeharwo hata sijaingia plantation leo. Yani digestive system yangu haina kitu at all, ni kuingia kama imetoka. Heshimu hio kitu, hapa ni kufanya kazi karibu na choo na juu ya choo. Minyoo zimetambua leo.
 
Why not buy that anti worm medicine which cost only 50 KSHS? Nothing against the Masai dawa but hazina quality control. Plus the vendor could have strolled with the dawa for several days, in this solar. Plus si unajua hygiene standards... Ok good luck lakini. Remember you have also flushed out all the good gut bacteria and inhabitants as well
 
Vaa kikoi na ukae nje ya choo bila kusumbua. Nani alikuambia ubargain dawa ya Maasai? Never do that. Sai itabidi umtafute akupee ya kufunga hio mharo, else utahara mpaka matumbo.
 
Why not buy that anti worm medicine which cost only 50 KSHS? Nothing against the Masai dawa but hazina quality control. Plus the vendor could have strolled with the dawa for several days, in this solar. Plus si unajua hygiene standards... Ok good luck lakini. Remember you have also flushed out all the good gut bacteria and inhabitants as well
It's a guy I know. Halafu afadhali miti shamba kushinda dawa za big pharma
 
Jana nikitoka plantation nilipita kwa Ole kuchukua kibuyu ya dawa ua kutishia minyoo. Unajua ni vizuri kutishia minyoo zisione hizo ndio kutawala. Nikachapa kikombe moja ya bitter herbs baada ya supper na my friend heh nimeharwo hata sijaingia plantation leo. Yani digestive system yangu haina kitu at all, ni kuingia kama imetoka. Heshimu hio kitu, hapa ni kufanya kazi karibu na choo na juu ya choo. Minyoo zimetambua leo.
Masphincter zote ziliraruriwa na Onyi ama?
 
Back
Top