Mombasa road Traffic

Ah ah ah gavament people hawezi onekana huku kuna maswali ngumu kama haya
Wameland kwa ground kukula mileage
IMG_20210827_155145_006.jpg
 
Jana nilipita huko but can't complain si una gogo traffic jam and you are able to know how, where to move ?
1. So kama unaenda kazi, uGoogle, ikuoneshe jam, utaambia mdosi aje? Mdosi ni muindi na uko second warning.

2. Google haikuambia watu "10 hrs to Mlolongo" jana.

3. So many sections of M Road are inaccessible from any other roads. UkiGoogle upate jam, uta-fly?
 
JKIA na national park haziruhusu alternative routes
Ya JKIA ni upus si basi pia watoe Mombasa Rd mahali iko sai since inapita katikati ya "shamba yao" ii side ya inbound hakuna kitu wanaeza fanya na iyo shamba
 
1. So kama unaenda kazi, uGoogle, ikuoneshe jam, utaambia mdosi aje? Mdosi ni muindi na uko second warning.

2. Google haikuambia watu "10 hrs to Mlolongo" jana.

3. So many sections of M Road are inaccessible from any other roads. UkiGoogle upate jam, uta-fly?
My friend maisha Nairobi lazima uwewe chap chap !
 
Nakubaliana na nyinyi - hapa Mchinku ametuchezea. Nilifanya mistake ya kwenda mkutano at EAPCC bila dereva two weeks ago. Worst mistake I ever made in life. Nilikaa kwa traffic 4 hours, mpaka makende ikachoka, armoured Wingroad ikaisha ngata halafu nikafika nikama nimetoka quarry - dust mpaka kwa ulimi................never again................wacha tu nikae Ndeiya Massive..........
 
Ya JKIA ni upus si basi pia watoe Mombasa Rd mahali iko sai since inapita katikati ya "shamba yao" ii side ya inbound hakuna kitu wanaeza fanya na iyo shamba

@Jug

Nimetoka huko Saa hii... It looks like the mountains of Kandahar..... Weeeeeueeeh!!! It's actually than a month ago when I was there.... Pure madness, confusion, anxiety, frustrations and proper dust....

I am going back there next week, nitatoka 4 am alafu nichomoke 1 pm

Many businesses especially on your left as you teremka zimepoteza
 
  • Like
Reactions: Jug
Back
Top