Modestwillam
New Lister
Sirkali tunaomba hizi vitu zishughulikiwe after hii pandemic deases covid-19 its over.
1. Road to success ipanuliwe tufike haraka.
2.Okoa jahazi ya 50 ikuje ikiwa 50 na si 45 coz hiyo ni haramu.
3. Watu walipe matatu kulingana na weight yao
4.Light at the end of the tunnel izimwe inakula stima sana.
5.Kenya iwekwe kwa olx iuzwe na kila mtu agawiwe pesa zake ajipange kivyake