Memes kali kali

Modestwillam

New Lister
Sirkali tunaomba hizi vitu zishughulikiwe after hii pandemic deases covid-19 its over.😕
1. Road to success ipanuliwe tufike haraka. 😁
2.Okoa jahazi ya 50 ikuje ikiwa 50 na si 45 coz hiyo ni haramu. 😁
3. Watu walipe matatu kulingana na weight yao 😁
4.Light at the end of the tunnel izimwe inakula stima sana. 😁
5.Kenya iwekwe kwa olx iuzwe na kila mtu agawiwe pesa zake ajipange kivyake😁
 
Rudisha hii huko kwa chaotic County Assembly
IMG_20200529_030736.jpg
 
Back
Top