wrongturn
Elder Lister
Chief afanye nini mkienda kwake kumlilia kwamba watu wanaibia wengine mahindi kwa shamba na hawezi weka askari kwa kila shamba?
hiyo wizi in my area it was quite rampant, mnaenda kuvuna mahindi , kumbe katikati hakuna kitu. We rounded up all boys wa mtaa hadi kwa chief, wazee wa nyumba kumi gave them a stern warning of expulsion, wizi iliisha. they used to steal and sell cheaply to resellers ndo wapate za pombe.