Happy Easter

Niwacheni please, @Karma_mama Hii ni yako
MV mapenzi,
Meli ya wapendanao,
Moyo kama Bahari,
Manahodha mimi na wewe,


Duniani kuna mengi sawasawa na bahari
Kuna papa ,nyangumi tena wale wa hatari
Hawapendi kuiona meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe safari
I am blushing.
You made my evening.
Usijali watu wa wivu.
 
Back
Top