Happy Easter

hapa umengangana kweli.. huyu kumbe alikua wako from the beginning. Love is in the air

Don't be too quick with the friendliness. Kameweka a hit out on you on the other side.

Screenshot_20210403-142728.png
 

Attachments

  • Screenshot_20210403-142728.png
    Screenshot_20210403-142728.png
    85.9 KB · Views: 78
Niwacheni please, @Karma_mama Hii ni yako
MV mapenzi,
Meli ya wapendanao,
Moyo kama Bahari,
Manahodha mimi na wewe,


Duniani kuna mengi sawasawa na bahari
Kuna papa ,nyangumi tena wale wa hatari
Hawapendi kuiona meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe safari
 
Back
Top