kwa maoni yako ina-printiwa na ngapi?90 million inaenda aje kuprint title deeds, kwani kutoa title ni pesa ngapi?
They had to clear the balance of the mother title so that they can get the individual subdivided titles90 million inaenda aje kuprint title deeds, kwani kutoa title ni pesa ngapi?
@RANDY $ kuja jibu hili swali
Nairobi Aviation journalism . @Meria hii info imetoka wapi.90 million inaenda aje kuprint title deeds, kwani kutoa title ni pesa ngapi?
Hii search yako ni Ile ya steroids athagwaisi normal snail pace search is free hapa Kiambu .1.Land search = ksh 1000
2.Land rate Clearance certificate fee= 10,000 .......for one to get the certifate one has to clear the pending land rates...
3.Consent to transfer land from the commissioner of lands = 1000
4.Stamp duty = 4% of the value of the land.
5.Registration of transfer = ksh 500 for each title.
6.Processing individual title =5000k
7. Lawyers fee....
Izo fee zinaweza add up ushangae....
I think when kabogo was in office nililipa 1000 kufanya search shamba iko juja farm..... na juzi pia nilifanya machakos i still paid 1k. Ya kiambu ilitolewa lini?Hii search yako ni Ile ya steroids athagwaisi normal snail pace search is free hapa Kiambu .
Ruiru lands office don't charge but you wait for 3 days hivi , ukinunua instant coffee search inatoka chap chap.I think when kabogo was in office nililipa 1000 kufanya search shamba iko juja farm..... na juzi pia nilifanya machakos i still paid 1k. Ya kiambu ilitolewa lini?
Mimi 2018 nili jidanganya nifanye tranfers bila kutumia lawyer it was not a pretty experience...... i spent 60k but pesa most ilienda kwa mfuko za watu. Machokos lands office is a nightmare.Ruiru lands office don't charge but you wait for 3 days hivi , ukinunua instant coffee search inatoka chap chap.
As at December 2019 for a parcel of land hapa Corner .Eastern Bypass
@Meria alienda shule moja na ile mlevi ya vibonzo aka @IntrovertNairobi Aviation journalism . @Meria hii info imetoka wapi.
Group of schools somewhere in Molo@Meria alienda shule moja na ile mlevi ya vibonzo aka @Introvert
Umesahau Family Bank iliosha pesa ya NYSAmepeana collateral gani for that 90M na alishapeana manyumba zake ziuzwe watu walipwe pesa yao?
really? I paid 1k in ruiru, around December, waited 3 days, hiyo free yako I highly doubt.Ruiru lands office don't charge but you wait for 3 days hivi , ukinunua instant coffee search inatoka chap chap.
As at December 2019 for a parcel of land hapa Corner .Eastern Bypass
@Meria alienda shule moja na ile mlevi ya vibonzo aka @Introvert
Did you get a receiptreally? I paid 1k in ruiru, around December, waited 3 days, hiyo free yako I highly doubt.