Clemens
Elder Lister
Iko poa hata sisi tulikuwa tunanyolewa na Mzee them days.View attachment 3072
Wangwana fade imekataa. Nitajua if he needs extra touch up kesho akikutana na the other brats kwa plot
Iko poa hata sisi tulikuwa tunanyolewa na Mzee them days.View attachment 3072
Wangwana fade imekataa. Nitajua if he needs extra touch up kesho akikutana na the other brats kwa plot
Hii ndio ilikuwa machine ukiwa umeketi kwa nyasi chini ya mango tree.Iko poa hata sisi tulikuwa tunanyolewa na Mzee them days.
Steam kidogo ndani ya fanta itasaidia.@Fala12, thats the model, kitu ua kishikilia till kajamaa kaache kuogopa kinyozi
Until Kinyozi wa Stima came.
We used to call it kariech due to the sound it made while working on you
hehehe. Watu huniita hivyo tangu campus days to date but am not. Am in a very diferent proffessionwatu hukuita padre nikadhani ni ukweli,