Ako nursery, niliona hawana shidaHaendi shule Monday?
Peleka mtoto kwa expert.Ako nursery, niliona hawana shida
Mbeca ngapi kinyothi?
Kuwa mpole, but its true skills are lacking. Kile ilifanya I start shaving him ni the last time alilia on the barbers chair na jamaa hakuwa patient na yeye, but definately akiacha kuogopa the machine anarudi kwa expertsPeleka mtoto kwa expert.
You can buy Wahl full kit but that doesn't mean you have the skill.
Mtoto anaenda kuenjoiwa shule.
Kwanza the older they grow, by age six wanajua the difference between skill as professional kinyozi na wewe.
Ata kama huamini the hygiene at the kinyozi just carry your own kit and make him use it.
Below 2k if I remember right.Mbeca ngapi kinyothi?
Munene, watu hukuita padre nikadhani ni ukweli, ama ulicheza kiwewe?Wangu kesho ananyolewa, (stone?) alterboy. Thanks kwa kunikumbusha. Alikuwa ameweka styles
Wapi buana, niliingia naivas nikaambiwa 6k nikatoka mbioBelow 2k if I remember right.
Munene, watu hukuita padre nikadhani ni ukweli, ama ulicheza kiwewe?
Enyewe iko hiyo age wanaogopa kiti ya kinyozi.Kuwa mpole, but its true skills are lacking. Kile ilifanya I start shaving him ni the last time alilia on the barbers chair na jamaa hakuwa patient na yeye, but definately akiacha kuogopa the machine anarudi kwa experts
www.gamestores.co.ke .The most basic Wahl is Ksh 1000. Note hauwezi adjust blades for this basic model.Wapi buana, niliingia naivas nikaambiwa 6k nikatoka mbio
enda river road just before Davis & shatiff, kuna muhindi shop ,stocked with saloon equipment.Wapi buana, niliingia naivas nikaambiwa 6k nikatoka mbio
@Fala12, thats the model, kitu ua kishikilia till kajamaa kaache kuogopa kinyoziwww.gamestores.co.ke .The most basic Wahl is Ksh 1000. Note hauwezi adjust blades for this basic model.
View attachment 3073
Same here, leo ndio nimeambiwa maneno ya like my cousinGot Wahl kit for the junior almost 18 months ago ,hakuna madoido hata ile watu wanaita cut hakuna .
The things we take our kids through in the name of love...wangu alisalimia kinyozi at one year. These days napeana tu pesa nangoja mastairo. This holiday alikuja na fade ingine covering half of his head starting at the forehead...sikubishana,just told him apige pose nichukue pichaView attachment 3072
Wangwana fade imekataa. Nitajua if he needs extra touch up kesho akikutana na the other brats kwa plot
www.gamestores.co.ke .The most basic Wahl is Ksh 1000. Note hauwezi adjust blades for this basic model.
View attachment 3073