upepo
Elder Lister
Kesi ya korti sio kama kesi ya wazee pale kwa kijiji. Niliwahi jipata kortini juu ya kunguru ikijaribu kunikamua child support. Juu ya hasira ya zile uwongo zote alikuwa ameongea nikasema simjui. Hiyo ndio siku nilijua ku-prove unajua mtu in a court of law ni kitu ngumu sana. Just make sure hupigwi picha ovyo ovyo mkiwa na kunguru.