Another one for Gubernatorial seat.

Meria

Elder Lister
Moses Kuria says he is considering resigning as Gatundu South MP to vie for Nairobi governor's seat.
624a69ed-4358-4566-a6ba-8601943a138a.jpg
 
@Mishale ii ndio maneno tulikuwa tunakata jana
if he's a better leader why not?
hii ndio maana unaona watu wanafukuza na kuchapa applicants for the normal jobs like teaching, being VC.... ati juu mtu ni wa county ama tribe ingine.

alafu kesho tribal numbers za institution flani zikitolewa, watu wanateta ati ni tribe moja ndio iko na cheo zote na hio ni tribalism. na ni sisi tu tunataka hivyo.
 
Could be that he wants to escape from Gatundu politics where the Kenyattas want to establish a foothold...
 
if he's a better leader why not?
hii ndio maana unaona watu wanafukuza na kuchapa applicants for the normal jobs like teaching, being VC.... ati juu mtu ni wa county ama tribe ingine.

alafu kesho tribal numbers za institution flani zikitolewa, watu wanateta ati ni tribe moja ndio iko na cheo zote na hio ni tribalism. na ni sisi tu tunataka hivyo.
Problem biggest is that we are all very hypocritical.
 
if he's a better leader why not?
hii ndio maana unaona watu wanafukuza na kuchapa applicants for the normal jobs like teaching, being VC.... ati juu mtu ni wa county ama tribe ingine.

alafu kesho tribal numbers za institution flani zikitolewa, watu wanateta ati ni tribe moja ndio iko na cheo zote na hio ni tribalism. na ni sisi tu tunataka hivyo.
Haya ambia IEBC pia mtu akue anavote from any place. Si mtu inafaa apige kura mahali alikuwa registered as a voter? Job transfers ni tofauti na ii yahawa majamaa. Sasa Kabogo atafanya nini Nairobi yenye hakaufanya Kiambu? And its not about Tribalism, mtu asimame mahali anapigia Kura just asa stated by IEBC. Kidero na iyo ya Homabay inafaa asisimame uko, Waititu angepambana na hali yake hapa Nairobi si kukimbia Kiambu.
 
kwangu hio idea ya mtu kuvote from any place inge kua poa sana.
but inaonekana bado hatuko ready kufanya kitu kaa hio na italeta shida nyingi sana.

kenye na hofia, ni tuna jigawanya kikabila kila kuchao. leo ni wana siasa kesho tuta endea rai ya kawaida.
ati we si wa kabila letu so huwezi kua Principle ama Chancellor ama Daktari.......
sisi ndio tutaumia
 
It happened "non-local" medical superintendent were demoted in the counties immediately after devolution.
 
its sad.
we end up missing on good services and leadership just coz one doesn't belong to your tribe/gender/religion.

but wacha tungangane tu. if what's happening on the ground, the by-elections, people walking out on Kalonzo, maybe we are slowly waking up, and it's just a matter of time before we see the bigger picture.
 
Ningekua Martha Karua ningesema hata mimi nasimama, ndio hii noogle mrefi initusi niipeleke kortini inilipe tena.
 
Back
Top