Are these ambitions or greed?
![]()
if he's a better leader why not?@Mishale ii ndio maneno tulikuwa tunakata jana
Problem biggest is that we are all very hypocritical.if he's a better leader why not?
hii ndio maana unaona watu wanafukuza na kuchapa applicants for the normal jobs like teaching, being VC.... ati juu mtu ni wa county ama tribe ingine.
alafu kesho tribal numbers za institution flani zikitolewa, watu wanateta ati ni tribe moja ndio iko na cheo zote na hio ni tribalism. na ni sisi tu tunataka hivyo.
Unless something magical happens .That family will have to work harder to front and make a candidate win in Gatundu .Nyokabi alikuwa rehearsal .Could be that he wants to escape from Gatundu politics where the Kenyattas want to establish a foothold...
Haya ambia IEBC pia mtu akue anavote from any place. Si mtu inafaa apige kura mahali alikuwa registered as a voter? Job transfers ni tofauti na ii yahawa majamaa. Sasa Kabogo atafanya nini Nairobi yenye hakaufanya Kiambu? And its not about Tribalism, mtu asimame mahali anapigia Kura just asa stated by IEBC. Kidero na iyo ya Homabay inafaa asisimame uko, Waititu angepambana na hali yake hapa Nairobi si kukimbia Kiambu.if he's a better leader why not?
hii ndio maana unaona watu wanafukuza na kuchapa applicants for the normal jobs like teaching, being VC.... ati juu mtu ni wa county ama tribe ingine.
alafu kesho tribal numbers za institution flani zikitolewa, watu wanateta ati ni tribe moja ndio iko na cheo zote na hio ni tribalism. na ni sisi tu tunataka hivyo.
kwangu hio idea ya mtu kuvote from any place inge kua poa sana.Haya ambia IEBC pia mtu akue anavote from any place. Si mtu inafaa apige kura mahali alikuwa registered as a voter? Job transfers ni tofauti na ii yahawa majamaa. Sasa Kabogo atafanya nini Nairobi yenye hakaufanya Kiambu? And its not about Tribalism, mtu asimame mahali anapigia Kura just asa stated by IEBC. Kidero na iyo ya Homabay inafaa asisimame uko, Waititu angepambana na hali yake hapa Nairobi si kukimbia Kiambu.
Kabogo ni mtu wa watu... Ni vile chupi lee ilimkataaaSasa Kabogo atafanya nini Nairobi yenye hakaufanya Kiambu?
It happened "non-local" medical superintendent were demoted in the counties immediately after devolution.kwangu hio idea ya mtu kuvote from any place inge kua poa sana.
but inaonekana bado hatuko ready kufanya kitu kaa hio na italeta shida nyingi sana.
kenye na hofia, ni tuna jigawanya kikabila kila kuchao. leo ni wana siasa kesho tuta endea rai ya kawaida.
ati we si wa kabila letu so huwezi kua Principle ama Chancellor ama Daktari.......
sisi ndio tutaumia
its sad.It happened "non-local" medical superintendent were demoted in the counties immediately after devolution.