Hii opus niliskia kwa milele, msee anauliza swali ati "natafuta jina la mnyama anaishi kwa maji na ana miguu mirefu ya nyuma", so someone calls in anasema anajua ni Sungura na mwingine ati kiboko, I guess they were part of the con, the catch being, you the unsuspecting victim utafikiria unajua...