The General Elections 2022

Da Vinci

Elder Lister
Let me leave this one here :)View attachment 70182
Fools won't change their minds! And nikijiangalia I am even better than Uhuru Kenyatta and several friends here, top most of them being one @Mwalimu-G! How can a straight thinking jubilee diehard endorse Raila Odinga, of all people? Ikiwa Ruto alikunia kiwanjani, si tungemweka kando tukainua mmoja from amongst ourselves jubilidiots, hata kama ni @Gashwin, ama @Meria? Hikio kimutu tuliambiwa ni chizi, si ndio? Kilipona lini? Tuliambiwa ni kîhîî, si ndio? Kilitahiri lini?
 
Da Vinci

Elder Lister
Throughout the campaign period for next week's elections, Azimio has been playing defense. Hakuna siku Azimio iliscore any meaningful point hata moja. Kazi ilikuwa damage control every time Raila said something stupid. Kama si hivyo ni Karua kubembeleza watu wa Central "msiogope! Raila ni Msaredo!". When it seemed like they made some gains, the government fucks them kwa kufanya careless blunders kama kupandisha bei za commodities such that hizo gains zoote zinapotea hivyo. Ajabu eti bado wanajiona kwamba watashinda. We will see.
 
bigDog

We already scored. We are playing for time. Waiting for the final whistle next week.

See how Lootall anatapatapa all over catching at straws.

Miti imeanza kuteleza. Kufa dereva mkora, kufa makanga mwisi! 😄
 
Top