Nani alitumia hii

Johny walker

Senior Lister
Personally mzae alibuy ingine ilikua inaitwa president.Na ikibuyiwa alikua na escort ya wazee wawili wajuaji who were later thanked by muratina.Kibarua ilikua kupeleka betaa charging.Main entertainment was WWE n ofcos 40 min of mtukufu rais.Mind you they are still in use ata hapa tao pia
20200114_161322.jpg
 
thesavage

Lister
Yetu ilikuwa ya mbao. Ilikuwa na miguu kama stool. Heheheee... Ilikuwa imeandikwa national. Ilikuwa inafunikwa kitambaa... Kuna button ilikuwa inazungushwa from 1 to 10 ati kuchange channel. 1 ilikuwa inashika VOK, na 7 ilikuwa inashika tu hiyo hiyo VOK.. Zile zingime zilikuwa za mchele. Ukiwasha ulikuwa unategea kwanza, ama unaenda kupika chai ama unakula njaro tu huko nje ukirudi ndio utapata picha imeiva, otherwise sauti ilikuwa inaanza tu immediately unaskiza kama redio. Saa zingine Jacob William Maunda akisoma news alikuwa anapanda pole pole kwa screen hadi huko juu, huku Maunda mwengine akimfuata kutoka chini polepole mpaka huyo wa kwanza anapotea, huyo wa pili anaruka ghafla na kutulia kwa screen. Saa zingine hatulii wanatokea wengi wanaaanza kufukuza kwa tv kutoka chini juu. Haraka haraka. Polepole. Halafu mmoja anatulia. Ukizima ilikuwa inatoa kiflash kama lightning halafu inaacha kabright spot hapo katikati. Ilipelekwa kwa fundi na haikuwahi rudi. I miss that thing.

Favourite ilikuwa urtna (music), big daddy (wrestling) na sesame street. Vitimbi ilikuwa inaniboo mbaya
 
Last edited:

Ule Msee

Lister
Yetu ilikuwa ya mbao. Ilikuwa na miguu kama stool. Heheheee... Ilikuwa imeandikwa national. Ilikuwa inafunikwa kitambaa... Kuna button ilikuwa inazungushwa from 1 to 10 ati kuchange channel. 1 ilikuwa inashika VOK, na 7 ilikuwa inashika tu hiyo hiyo VOK.. Zile zingime zilikuwa za mchele. Ukiwasha ulikuwa unategea kwanza, ama unaenda kupika chai ama unakula njaro tu huko nje ukirudi ndio utapata picha imeiva, otherwise sauti ikikuwa inaanza tu immediately unaskiza kama redio. Saa zingine Jacob William Maunda akisoma news alikuwa anapanda pole pole kwa screen hadi huko juu, huku Maunda mwengine akimfuata kutoka chini mpaka huyo wa kwanza abapotea, huyo wa pili anaruka ghafla na kutulia kwa screen. Ukizima ilikuwa inatoa kiflash kama lightning halafu inaacha kabright spot haoo katikati. Ilipekekwa jwa fundi na haikuwahi rudi. I miss that thing.

Favourite ikikuwa urtna (music), big daddy (wrestling) na sesame street. Vitimbi ilikuwa inaniboo mbaya
:ROFLMAO: Exact experience pale Naikuru
 
Na ufala zangu hizo enzi, nilikuwa nifuatane na hako kadot ka mwisho nijue pahali kanaendanga. We even had a bet with my silly classmates in my click, over who is going to find out first.
 
Aviator

Elder Lister
Heheheeee...

Ever seen this brand logo in your life kwa kinanda, tv ama radio?
View attachment 3794
Je, unajua kinanda?
Yes. Kinanda is a turntable. We had one, a National, with legs like a stool.
Mzee told me that's what wooed mum to be his wife. Even the chief didn't have one like that. And FYI, it still works. Problem is that it uses 12 batteries. No option for AC.
 
:ROFLMAO: For a moment I thought ulikuwa generation ya bluetooth speakers. My apologies
 
Mzito Jimit

Lister
Okay as late as 2008 those stuff were still in operation but in ushago. Kuna day my uncle amezungusha knob kwa hiyo Greatwall akapata Citizen akaanounce mwenye atatoa iyo station na ahame tu mapema. Otherwise sisi tulipata zile VCR kwa video shows. Unaingia ndani Chuck Norris anageuka mchele. Mwenye video anauliza kama kuna mtu ako na fifty bob mpya iwekwe kwa izo tapes biggy za black isafishe. They always worked, dont know the science behind that concept.
 
kymnjoro

Elder Lister
Yetu ilikuwa ya mbao. Ilikuwa na miguu kama stool. Heheheee... Ilikuwa imeandikwa national. Ilikuwa inafunikwa kitambaa... Kuna button ilikuwa inazungushwa from 1 to 10 ati kuchange channel. 1 ilikuwa inashika VOK, na 7 ilikuwa inashika tu hiyo hiyo VOK.. Zile zingime zilikuwa za mchele. Ukiwasha ulikuwa unategea kwanza, ama unaenda kupika chai ama unakula njaro tu huko nje ukirudi ndio utapata picha imeiva, otherwise sauti ilikuwa inaanza tu immediately unaskiza kama redio. Saa zingine Jacob William Maunda akisoma news alikuwa anapanda pole pole kwa screen hadi huko juu, huku Maunda mwengine akimfuata kutoka chini polepole mpaka huyo wa kwanza anapotea, huyo wa pili anaruka ghafla na kutulia kwa screen. Saa zingine hatulii wanatokea wengi wanaaanza kufukuza kwa tv kutoka chini juu. Haraka haraka. Polepole. Halafu mmoja anatulia. Ukizima ilikuwa inatoa kiflash kama lightning halafu inaacha kabright spot hapo katikati. Ilipelekwa kwa fundi na haikuwahi rudi. I miss that thing.

Favourite ilikuwa urtna (music), big daddy (wrestling) na sesame street. Vitimbi ilikuwa inaniboo mbaya
Memories are made of this. nakumbuka tukiona wreso na Ramayan.....
 
thesavage

Lister
Okay as late as 2008 those stuff were still in operation but in ushago. Kuna day my uncle amezungusha knob kwa hiyo Greatwall akapata Citizen akaanounce mwenye atatoa iyo station na ahame tu mapema. Otherwise sisi tulipata zile VCR kwa video shows. Unaingia ndani Chuck Norris anageuka mchele. Mwenye video anauliza kama kuna mtu ako na fifty bob mpya iwekwe kwa izo tapes biggy za black isafishe. They always worked, dont know the science behind that concept.
You just taught me something! I have an old tape that I have been hoping to digitize lakini iko na mchele.
 
Top