Mutura ya 800/-

upepo

Elder Lister
Ni nini mbaya na watu?

Mutura ikipita 10/- a piece labda iwe imeundwa from Wagyu Beef. So shock on the Village mutura connoisseur kuona ati Ankole Grill in Kilimani is selling the sweet stuff for almost a K.

Thao.

Ngiri.

Mti.

Aki ya nani we are losing our culture and norms.

Wewe ebu angalia hii sahani na uniambie kama unaweza lipa zaidi ya soo moja kusema ukweli.
View attachment 40573
Alafu kuongeza pilipili kwa hii issue ni eti this is very ordinary mutura with basic fillings and the key ingredients of darkness, smoke and kauchafu kidogo seem to be absent.

Mimi inaniaffect kusema ukweli especially considering the tough economic times we are in.

I will send them a proposal that the turwa itself should be at most 70/- as illustrated;
View attachment 40574

Hatutaki madoido mob. Wakae na sahani yao tutakula na mkono na pia hiyo sauce watumie kwa dish zao zingine.

Anyone with contacts for the Weights And Measures Department?
Apana chezea sisi reverse psychology.Wewe ata ukule matope tunakuonea mbali.
 

DeepInYourMind

Elder Lister
Wacha watu watengeneze pesa with this poor economy, we need money circulating. If you are shocked, you are not the target market, a lesson I learnt
 
Last edited:
Top