kwani io licence mnapinga ivo mtu analipa billions? Regulator atakuja akague mitambo yako aone sio hatari kwa usalama wa public na akupatie cheti, uachwe ukifanyia stima yako.chenye unataka.
Kibanda ya chai na mandazi kando ya barabara hukaguliwa na watu wa public health na kupewa cheti sababu ya vitu kama cholera, driver wa nduthi anatakiwa awe na licence.
Mtu ako na power plant ya 1.5 billion mnataka awe exempted?
Unajua Dam ya Solai enye iliuwa wananchi? Ilikuwa private na hawakuwa wanauza maji, lakini project kubwa ivo, 1MW, incase kitu iende vibaya inaweza kuwa hatari kwa usalama wa citizens. Lazima regulator akuwe involved kwa project kama hiyo.