kawangware 2002

Kabuda

Elder Lister
Hiyo time ndio tulianza transition from ragga to dancehall.
Time Capleton alikuwa anaspit ni kama ameumwa na scorpion..Shaggy was still mainstream and the likes of Sanchez with his Frenzy song was catering to the ladies.
Matanga nazo zilikuwa zinashika ni aje.. saa hizo CD was the new technology. Walking Man inashikanishwa na speaker za ndoo after kuwa amplified. Mnachapa sherehe mkiskiza Shabba Ranks na Buju Banton alafu sasa ile ragga remix ya If tomorrow is judgement day ikifika, unajiuliza maswali kuhusu life na kudaishi kinduku

Edit: Walkman was the name. Would love to have one and show Mzeiya Jr how far we've come
View attachment 31464
1997 - Class 2
2002 - Class 7...
So you were 13 in class 7?
Kwani wewe ni repeater?

tenor (2).gif
 
Ssabasajja

Elder Lister
Siwezi kumbuka brand name but shule zikifungua, ilikuwa plot fiti sana. Unanunua Bamboocha na biscuits. Kadem kanakuja mtaa mnakulana mate but I was too scared to impregnate someone's daughter so hakukuwa kula vituz

Hii ni ile ilikuwa Accra Road?
Now known as Terminal 2.
 
Ngengere

Lister
Soko ya kawangware huwa Tuesday na Thursday.. or used to be.. mimi pale nime vaa kolombo.. t-shirt ya white.. na tie... kiatu ni sahunya... nimewasili kwa soko ya ungwaro niko na mia nne kwa mfuko.. naenda kununua pipe na nike..
my friends.. kuingia pale naona kidosho imevaa baika.. juu ni half top.. nywele ni dready.. nikase airee.. jah rasta.. nikafuata kidosho.. akaingia kijichochoro flani.. nikafuata mtama.. akanialika pale..

mimi pale mlingoti juu.. akaniambia shot mia room ni one fifte... nikaamua leo niile siku..
mbele nyuma nilikua na mia nne..
kabla nilipe nikaskia ngoma za demakufu.. missile 1...hapo kando kwa kibanda.. nikasare hiyo kunguru ni kanunua missile 1 by blacksupremacy sounds.. best decision..
naskiza hiyo CD saa hii
Wacha
...2002 was simple simon buana
 
Doc oga

Elder Lister
Hii tulikuwa tu tunaskia story za kutisha na za kuchekesha. By the time I was old enough kuenda jam, ilikuwa Sunday pale F2 saa nane. CLub za reggea zilikuwa too violent. There was Chemil and before that Pink Elephant
Nilianza kuingia nikiwa form 2 na ikakuwa ndio mtindo every Sunday Jam session kabla nijue King Lion Sounds Achievers.
 
Aviator

Elder Lister
Soko ya kawangware huwa Tuesday na Thursday.. or used to be.. mimi pale nime vaa kolombo.. t-shirt ya white.. na tie... kiatu ni sahunya... nimewasili kwa soko ya ungwaro niko na mia nne kwa mfuko.. naenda kununua pipe na nike..
my friends.. kuingia pale naona kidosho imevaa baika.. juu ni half top.. nywele ni dready.. nikase airee.. jah rasta.. nikafuata kidosho.. akaingia kijichochoro flani.. nikafuata mtama.. akanialika pale..

mimi pale mlingoti juu.. akaniambia shot mia room ni one fifte... nikaamua leo niile siku..
mbele nyuma nilikua na mia nne..
kabla nilipe nikaskia ngoma za demakufu.. missile 1...hapo kando kwa kibanda.. nikasare hiyo kunguru ni kanunua missile 1 by blacksupremacy sounds.. best decision..
naskiza hiyo CD saa hii
Demakufu over puthy?
Are you .....
Ama wacha tu
 
Top