Soko ya kawangware huwa Tuesday na Thursday.. or used to be.. mimi pale nime vaa kolombo.. t-shirt ya white.. na tie... kiatu ni sahunya... nimewasili kwa soko ya ungwaro niko na mia nne kwa mfuko.. naenda kununua pipe na nike..
my friends.. kuingia pale naona kidosho imevaa baika.. juu ni half top.. nywele ni dready.. nikase airee.. jah rasta.. nikafuata kidosho.. akaingia kijichochoro flani.. nikafuata mtama.. akanialika pale..
mimi pale mlingoti juu.. akaniambia shot mia room ni one fifte... nikaamua leo niile siku..
mbele nyuma nilikua na mia nne..
kabla nilipe nikaskia ngoma za demakufu.. missile 1...hapo kando kwa kibanda.. nikasare hiyo kunguru ni kanunua missile 1 by blacksupremacy sounds.. best decision..
naskiza hiyo CD saa hii