Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Hitler wants us to play nice like good boys and girlsKarii kii mani?
Nimekua kwa msitu. What's going down?
Hitler wants us to play nice like good boys and girlsKarii kii mani?
Nimekua kwa msitu. What's going down?
Pelekea fundi izafishwe fan ya ndani. Imejaa manyoya na vimbi.Watu mmenunua ii kitu does it work. Laptop hapa inapumua kama kisiagi but it's running fine natafakari ku nunua ii External Fan is it worth it ama hapa nikutupa mashillingi. Sande
Exchange of friendly fire being led by @mzeiya and @Ngimanene na Muchere directed to OP @Jug lakini @admin ni nani alingoa izo replies banaeKarii kii mani?
Nimekua kwa msitu. What's going down?
Tafuta bic ball pen. Remove hiyo kitu ya ndani and cap at the end so that you have a pipe. Weka kwa mdomo and puliza hio heat sink and fan to remove clogged/accumulated dust. Computer works like new. Do this after every 3 months. No need going to the fundi to blow the dust off.Watu mmenunua ii kitu does it work. Laptop hapa inapumua kama kisiagi but it's running fine natafakari ku nunua ii External Fan is it worth it ama hapa nikutupa mashillingi. Sande
Blowjob just got a new meaning, ehTafuta bic ball pen. Remove hiyo kitu ya ndani and cap at the end so that you have a pipe. Weka kwa mdomo and puliza hio heat sink and fan to remove clogged/accumulated dust. Computer works like new. Do this after every 3 months. No need going to the fundi to blow the dust off.
@Meria?na ukiweka Lappie kwa laps what happens?
you guy my guy, kumbez you are a techiez like thiz, you amaze me everyday with your mad skillzTafuta bic ball pen. Remove hiyo kitu ya ndani and cap at the end so that you have a pipe. Weka kwa mdomo and puliza hio heat sink and fan to remove clogged/accumulated dust. Computer works like new. Do this after every 3 months. No need going to the fundi to blow the dust off.
@admin amejifanya dictator kung'oang'oa sweet innocent sweep zilikuwa kwa hii threadKarii kii mani?
Nimekua kwa msitu. What's going down?
Ati it`s cracking the whip@admin amejifanya dictator kung'oang'oa sweet innocent sweep zilikuwa kwa hii thread
Hitler mwenyeweWhich @admin in particular?
Idi AminHitler mwenyewe
Sema jina yake we deal with him perpendicularly.Hitler mwenyewe
Wewe bado unapika pweza?Idi Amin
Btw, worst mistake you can ever make ni kuwekelea machine kwa bed. Duvet kwanza blocks all the vents inachemka tu. I remember when I was in campus tukiwa na young kungurus waliwekelea machine ya roomate kwa kitanda ikaanza kutoa moshi. Unfortunately, his machine did not have a thermal shut off that would have saved his laptop. 20k down the drain as a broke fresher.nazile ngombe zinatumianga zikiwa kwa bed zinaiweka juu ya comforter?
Iko na NvidiaIf the laptop iko na graphics card ya Nvidia or AMD don't waste time have it fixed ASAP .
Disassemble laptop ,unclog fan ,scrape off the dried up thermal paste and then reapply fresh paste .
Have it fixed ASAP .Most laptops with dedicated graphics card use a single copper pipe to transfer heat from the processor and the graphics chip with a single fan . When the fan is clogged the whole system throttles down and worst case display fails .Iko na Nvidia
What is the model of your laptop? Or the product number?Watu mmenunua ii kitu does it work. Laptop hapa inapumua kama kisiagi but it's running fine natafakari ku nunua ii External Fan is it worth it ama hapa nikutupa mashillingi. Sande