Charcoal

Kender9

Elder Lister
Kuna wengine Nakuru wameweka viazi kwa buckets but hizo ndoo zimewekwa kifuniko ndani to act as a false base so viazi ni nusu ndoo na unawekewa haraka sana usichanuke.
Wacha kifuniko, kuna venye wao huzipanga, zinashikana mid-bucket, ukitingisha bucket ama utoe kwa bucket moja moja, inabomoka na ndani. Wanapenda watu wa "my car" wale hawatokagi kwa gari wagongwe. Wanainamisha bucket kwa kuweka kwa gunia pap, owes jua.
 
Top