Makavelli
Lister
Katika pilka pilka zangu zakutanga tanga, @Ngimanene na Muchere leo nimeamua kujoin the brave battalion nimefika Sultan. Ii baridi hapana leta bidii nafikiria kununua gunia ya maka bei napatiwa ni 1800/= is it worth it ama nichukue ya Nyarofi...