Acha kulalia maskio. Who said there is medicine? Wewe na huyo gashui analike comment yako kwani mnafikiria nini? Really?Which plan? There isn't a cure for this, those who tested positive and we're isolated, told us hakuna dawa wanapewa, ni kuangaliwa na macho Kinga yako ya mwili ikupiganie