hio ni utoto na upuzi, hizo gari unaambiwa fare ni 50 ukiingia unaambiwa 80, the only matatus i found had well balanced music ni super metro from kikuyu. these ones from umoja dont understand what good sound is kazi ni kuweka kila kitu juu
hizi ni za umoja my hood. hizo takataka siwezi panda, the driver amecheza na equilizer the bass is too hard plus the mids are too loud. if the music being played was from mid 2000s crunk ningevumilia nipande lakini this trap and wamlambez bullshit siwezi hata jaribu
hahaha, wamatangi hawezi hata pata kiti ya mca kiambu kuja kwa ground ujue msimamo wa watu, he lost jubilee nominations 2017 main election his challenger a former mca alimleta mbio sana. guarantee wamatangi nyumbani 2022
kalonzo is a headless politician, how can he support the kangata revnue bill which reduces money to ukambani counties, takataka kabisa. wakamba wanafaa watoe hii mtu
i dont know how this thing will work, kenyatta senior fought senior odinga, moi fought both oginga and raila halafu uhuru just out of the blue decides to handle an odinga the mantle hapo haiwezekani
the bigger picturre here seems to be 43 vs 1, central is not the only one benefiting but they are owning the process making it seem they are the ones taking from others
raila was done and dusted after 2017 uhuru has resuscitated him na akampatia nguvu. the executive pm is for uhuru raila wants the executive presidency. uhuru alijikaanga na mafuta yake