WALEVI CORNER

afisa hii mambo imekukula kichwa sana. Niko na mizinga kadhaa kwa nyumba na several six packs za pilsner and some Turbog. Haki naona nikiwacha pilsner nirukie Turbog full time. Very nice beer
Mimi na pombe hatukai nyumba moja, lazima ni malize mambo ya ku stock hapana, na itisha mtu wa nduthi analeta black and white mzinga after 2 days.
 
Hii curfew na kusimamisha sell of alcohol inawapeleka aje, think it's not a smart move juu mulevi lazima atalewa, barmaids should be included kwa list ya critical officers in Kenya, mimi nimeletewa mzinga kwangu na nduthi, for everyone to feel the heat let's go for a complete lock down watu wa chai tuone kama vichwa hazitaruka, posted kwa health forum coz some of us depend on njohi to survive.
Day 5 of karatina. Imebidi nirudi kwa mtungi omwami, masiku hazisongi
IMG20200405150909.jpg
 
Hii curfew na kusimamisha sell of alcohol inawapeleka aje, think it's not a smart move juu mulevi lazima atalewa, barmaids should be included kwa list ya critical officers in Kenya, mimi nimeletewa mzinga kwangu na nduthi, for everyone to feel the heat let's go for a complete lock down watu wa chai tuone kama vichwa hazitaruka, posted kwa health forum coz some of us depend on njohi to survive.
Pamba ukilewa utahudumia wananchi SAA ngapi?
 
Back
Top