Samak traders to lose 200m

Meria

Elder Lister
Kenyan traders are counting losses after Ugandan authorities blocked them from transporting their fish to the DRC through their territory. The traders said their salted fish, with a total value of Sh200 million, has started rotting in stores at the Busia border.
#ferkM7
IMG_20211112_180011_398.jpg
 
Hii watu ya samak iko sida mingi! Kama si wivu ya Uganda ni Mtanzania kushika wavuvi, kuharibu nyavu na kutoboa boati. Halafu Chinaman naleta synthetic fis. Sida tupu hii kazi!
Mwarimo, how are you keeping? Kuna mahali nilikula fish Machakos, hio samaki haikuwa na taste ya fish hata! ,maybe ilikuwa ya mshina?
 
Mwarimo, how are you keeping? Kuna mahali nilikula fish Machakos, hio samaki haikuwa na taste ya fish hata! ,maybe ilikuwa ya mshina?
Niko poa Mwalimu. Hiyo talk ya China fish huwa story refu but pengine ni mapishi yalileta sida.
 
Back
Top