Liverpool VS Man Useless: Super Sunday

Chelsea iko na bahati

IMG_20211023_192826.jpg
 
Congrats....

But sometimes hua sielewi..... Chelsea had 1.22 odds kichwa alafu

Ov 2.5 at 1.71

0v 4.5 at 5.01

Hehehe ati juu Lukaku and Company hawako!

Crazy man!
Kama kuna kitu huwa sielewi ni hizi odds na bets. Hii ndio kumaanishaje?
odd ya 1.22 Kichwa ni kuekelea Chelsea au selected team kuwin outright.
so pesa/amount utaeka itakua muliplied by 1.22. (e.g, 1000 = 1000*1.22 = 1,220. utashinda 1220 so ni 220 bob pekee profit.) but kuna tax itakatwa ukieka bet na ukishinda.
odds ukua ndogo kaa hio 1.22 kwa teams ziko sure kushinda. Norwich ilkua na odd ya 17.0 kushinda so ingeshinda na mtu ameweka 1000 ingekua = 17*1000 = 17,000. but tax ingetolewa

Ov 2.5 au 4.5 au Ov yeyote = Over, ni game kuisha na bao more than 2 au 4 au 3. hio .5 ni kumake sure hakuna confusion. round off to nearest whole number. (Ov1.5 = 1-1 au 2-1 au 2-0..... , Ov4.5 = 5-0, au 4-1 au 3-2.....)
Und, ni Under na hapa .5 haina maana. ni value iko mbele. so Un1.5 ni game iishe na bao less than 1. (1-0 au 0-0) ikipita bao moja ni Ov1.5
 
Ahsande sana
 
Hesabu swafi lakini tax ya Jicho 🍅🍅 hujafanya
 
Back
Top