Liverpool VS Man Useless: Super Sunday

IMG-20211024-WA0004.jpg
 
Mungu wa Yakobo, Eliyah na Musa, naja mbele zako siku ya leo kwa hiari ya Ole Gunnar Solskjaer na timu ya ibilisi manchester.

Naomba ukawasamehe dhambi zao siku ya leo Baba na ukawafanye wawe safi zaidi ya pamba. Katika hili mechi la kata na shoka, naomba ukawakabidhi nguvu na maadili timu hiyo ya wasenge wanyonge ili wakaicharaze LiVARfools mabao tano mtungi.

Naomba Ronaldo akawafunza Matip na yule mpotevu mwingine maana ya GOAT. Naomba Sancho akumbuke alipoviwacha viatu vyake vya kufunga magoli na pia ukamkabidhi talanta ya Ronaldinho ili ahakikishe Robertson amekagua nyasi na mashabiki.

Naomba yule mreno mwingine anapenda penalty leo ahakikishe Alexander Arnold amejiuliza maswali kwa nini ako na jina tatu za kwanza, na pia afanye Alisson apanue miguu zaidi kuliko kahaba wa Sabina Joy.

Wape mabeki wanyonge wa manchester nguvu ya kusimama tisti mithili ya Miguna wanapokabiliana na Mane na Salah, na Fred akili ya kukabiliana na Naby Keita na Henderson mpaka wawike kuna uchawi unaendelea uwanjani.

La muhimu zaidi, hakikisha malaya sugu @Meria Carey Na @It's Me Scumpaka wamekwenda hasara kubwa kwenye bet zao.

Katika jina la Yesu ninaomba na kuamini.

AMINA!!!
 
hili ombi is null and void.
haliwezi kubalika juu limejaa matusi, our good lord said love your as you love youself.
Liverpool 4 Manuseless 1
 
Last edited:
Back
Top