The Prophet
New Lister
It's ksh 50 ukinunua agrovet but 35 ukinunua those supermarket s ziko na deals na magendoNi ngapi?
It's ksh 50 ukinunua agrovet but 35 ukinunua those supermarket s ziko na deals na magendoNi ngapi?
Wadau, nasambuliwa sana na roof rats kila usiku ni kucheza kwa ceiling... Nimeziwekea rat rat lakini bado zinaishi...... Anyone have a permanent way of dealing with them?
Nunua nyoka uiweke huko juu. Ukiskia makelele za panya zimeacha jua uko next.![]()
Probably those are bats, not rats. Had the same issue thinking its rats till in saw a bat sneak out of the house at dusk. The solution was to seal the entrance.
Nice...give them 3 - 4 days....zinakufa zikitembea...Kwanza zile kubwa kubwa huwa zinakataa Kula sumu zingine (bait shy) lakini hii zinachangamkia...na hata zikikunywa maji zinakufa tuNimenunua ii
Nice...give them 3 - 4 days....zinakufa zikitembea...Kwanza zile kubwa kubwa huwa zinakataa Kula sumu zingine (bait shy) lakini hii zinachangamkia...na hata zikikunywa maji zinakufa tu
Just throw themHow do you put it... Throw it in the ceiling or in a container?
U can purchase storm
Yes..it's very effective and efficient...Majamaa, I think I'm rat free.... Haven't heard those annoying scraping sounds for the last 2 days..... Baraki works!!!!!
Though...I thought baraki is bluish...hii ni Gani?View attachment 3872
Jana niliziwekea dawa and just checked na zilisossi hio dawa proper.... Leo nimeichanganya with left over dinner na kurudisha kwa ceiling.... Hope they die a painful death
Kwa ceiling utapanda aje?You can also solve that issue without killing them.
Tumia powdered pepper especially black pepper Zita hama zenyewe. You just broadcast iyo powder where they pass