Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Wadau, nasambuliwa sana na roof rats kila usiku ni kucheza kwa ceiling... Nimeziwekea rat rat lakini bado zinaishi...... Anyone have a permanent way of dealing with them?
Kwa roof?Paka
Kwa roof?
Tafuta paka uirushe huko kwa ceiling for two nights only.Kwa roof?
Tafuta wale wasee wa dawa ya mende wako dawa ingine inakaa omo imeshikana..... panya ikikula hata harufu hautanusha.
Ziwekee ..baraki..it's pellets...they die a slow death through bleeding