Kwani nini Jameson Wanjohi anatupeleka na Hii speed? 3yrs ago 500/ ulikua unapewa 35/38 saa Hii inachezea 25/28
25/28 units hazimalizi mweziUhuru alichezwa na vile amecommission generators pale olkaria !
Zima fridge gathee.25/28 units hazimalizi mwezi
Na maji ataweka wapi?Zima fridge gathee.
Three weeks is how long 36 units lasted upto until last Sunday. Na kazi ni kuoga, fridge, tv (rare), pasi na wifi.25/28 units hazimalizi mwezi
Kwa freezer at night na kutoa during the day as it defrost slowly while keeping it cold.Na maji ataweka wapi?
Tushazoea maji ya room temperature nanii...maji baridi na corona,wueeehhKwa freezer at night na kutoa during the day as it defrost slowly while keeping it cold.
Depends with your location Sisi hapa Rachuonyo where temperature hits the highs of 32°c prefer our beverages cold.Tushazoea maji ya room temperature nanii...maji baridi na corona,wueeehh
Watu waoge maji baridi, kaa ngumuThree weeks is how long 36 units lasted upto until last Sunday. Na kazi ni kuoga, fridge, tv (rare), pasi na wifi.
The only place for cold showers is Tudor Mwisho....anywhere else in this country ni maji moto. Ya karai ama instant shower. No compromises.Watu waoge maji baridi, kaa ngumu
Be braveThe only place for cold showers is Tudor Mwisho....anywhere else in this country ni maji moto. Ya karai ama instant shower. No compromises.
Nikae ngumu utanipa olympic gold medal...
For cofit yes. Cold water? No!Be brave![]()
Hujanyonga meter? My bill comes to around 200 bob pm na ninatumia stima sawasawa. Presence of solar panels around convinces the meter readers that i'm transitioning. Nimeibiwa ya kutosha.Sisi watu wa post paid tukae wapi?
Siku hizi imebidi nioge maji baridi. Good thing nishazoeaWatu waoge maji baridi, kaa ngumu
Siwezi guza mali ya JichoHujanyonga meter? My bill comes to around 200 bob pm na ninatumia stima sawasawa. Presence of solar panels around convinces the meter readers that i'm transitioning. Nimeibiwa ya kutosha.
Remember senators, snitches get stitches.
Two weeks at most, with just basic appliances.25/28 units hazimalizi mwezi
Kumbe brave softyThe only place for cold showers is Tudor Mwisho....anywhere else in this country ni maji moto. Ya karai ama instant shower. No compromises.
Nikae ngumu utanipa olympic gold medal...