Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Leo nilikuwa nimengethia pale Thika Road NYS nione kama nitaangukia 2 mbirrions za leo, hatukufi roho. Halafu baada ya kungethia for some time nikapitia pale Garden City nikakuta maduka zinafunga kufunga ta gathia. Very many shops closed and are closing huko banae. Na ile ilikuwa inafaa kuwa hujuma centre, serikali bado huilipia rent hapo kwa mall na hawajawahi ingia?