A Micro Mini Hekaya

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Kuna hii siku nimepelekea fundi flani bike to replace a certain ring. Jamaa walahi in front of my eyes alichukua mallet ile ya chuma and a chisel akitaka kufungua bike nayo banae. I sweated for a moment wondering what this nigga was upto, aliwekelea chisel kwa bolt akainuwa mallet na mimi kuona what was about to happen nikapiga hio chisel tekee na kumuuliza anataka kichonga nini?

Jamaa akacheka kidogo akasema hivo ndio mtu hufungua hio base ya ring, nikamuuliza kama ashawai fanya kazi na carbon fibre? Ama anaiskianga tu, Akaniuliza, "kwani hii ni ya pesa ngapi?", nikamshow hio haimhusu lakini huwa haiguswi na mallet ofyo ofyo....mimi huyoo nikapelekea specialist, lakini nikajiuliza huyo jamaa hufanya kazi aje? Na jeh kama ningemuachia ati atengeneze nikujie baadaye, si hio ingekuwa machoz tupu?

a0891701-43f6-4a8b-a5be-24d57a620dd9.jpg

Anyway, ubaya wa kutembea town mupya ni ati hujui ni njia gani one way!

HAPPY MERRY CHRISTMAS FOLKS, mnaikulia wapi?
 
View attachment 27431

Anyway, ubaya wa kutembea town mupya ni ati hujui ni njia gani one way!

HAPPY MERRY CHRISTMAS FOLKS, mnaikulia wapi?
Omwami ulipotelea wapi and you know what i mean?
 
vitu zina change haraka so ni poa ukiwa na new tchnology enda kwa specialist ama ukipeleka kwa watu wakawaida, make sure umegoogle ama kuangalia youtube video ya vile inatengenezwa ndio ukue na idea.

watu huku inje bado hawana form ya new technology.

same na nyumbani pia, usininue electronics mpya zako ama za wazazi na huonyeshani vile zina faa kutimiwa, kuoshwa, .... utarudi after one year kitu imeharibika ama bado ni mpya juu hakuna mtu anaitumia uu hawajui.

ni poa ulkua alert, apo munge umia we na fundi
 
Last edited:
Now theres a time i was moving out from certain high end aparto's, (yes, im still renting huku town and im a humble brag). So katika hiyo harakati, we knocked over the ground floor gutters that channel rain wateq. Mimi huyo nikajua landi akiskia i caused damage while moving out, depo yangu itakunywa maji.

Early next morning, went with a plumber, alafu jamaa imetoa lock, he is breathing fire. Akawasha ile moto ya kumelt plastics nikiwa hapo, akaanza kutengeneza mahali gutter pipe imeharibika lakini naona nikama anashindwa. It was a tricky position kwa corner ya ukuta.

Spent a cool hour and a half monitoring and trying to help out where i can, but we're not making any progress with the repair. Alafu the jamaa, akaenda akafungua his bag of tricks, akatoa nyundo na tindo. Me namuangalia tu.

When he got up on the ladder, asked him what he wants to do. "Ati nimeonelea nibomoe hapa kwa corner kama footi moja ndio hii repair iwezekane!¡"

I was shocked beyond belief, nilimfukuza bila malipo.
 
Back
Top